- 531 viewsDuration: 2:56Washukiwa 170 wanaohusishwa na visa vya uhuni kwenye mikutano ya kisiasa wanazuiliwa na polisi katika kaunti ya transzoia. Hii ni kufuatia tukio la jumamosi mjini Kitale, ambapo wahuni walijaribu kuvuruga shughuli ya usajili wa kupiga kura na kuathiri shughuli za kibiashara. Haya ni huku waziri wa usalama Kipchumba Murkomen akisema idara ya polisi inaanza kutoa mafunzo maalum kuhusu jinsi ya kukabiliana na vurugu na wahuni.