30 Sep 2025 7:56 pm | Citizen TV 10,326 views Duration: 1:01 Maandamano ya amani ya wauguzi nje ya ofisi ya gavana Siaya, yaligeuka kuwa vurugu baada ya wahuni waliokuwa na silaha kuwashambulia waandamanaji huku maafisa wa polisi wakitazama