Waislamu kuadhimisha sikukuu ya Idd Ul- Firt kesho

  • | Citizen TV
    3,012 views

    Waislamu wataadhimisha sikukuu ya idd ul- firt hapo kesho huku Serikali ikitangaza Jumatano kuwa siku ya mapumziko kwa wakenya wote. Haya ni huku Idadi ya wateja wanaonunua bidhaa za kujiandaa kwa sherehe hizo ikipungua Kwa kiasi kikubwa kutokana na kupanda Kwa gharama ya Maisha.