Skip to main content
Skip to main content

Waislamu waadhimisha Eid Ul Adha huku wakilalamikia gharama ya maisha

  • | Citizen TV
    214 views
    Waislamu kote nchini leo wameungana na wenzao duniani kuadhimisha sherehe za sikukuu ya Eid Ul Adha. Kupanda kwa gharama ya maisha na cheche za siasa zilisheheni jumbe za Eid katika sehemu nyingi. Aidha, Wakenya waliozungumza wameitaka serikali kushusha gharama ya maisha na kuhimiza mshikamano wa kitaifa.