18 Sep 2025 2:04 pm | Citizen TV 273 views Duration: 3:59 Wadau kutoka sekta kadhaa ikiwemo idara ya afya, maafisa wa usalama na wanaharakati sasa wanataka jamii kuwakumbuka wajane waliofiwa na wake zao kwani takwimu zinaonyesha kwamba wengi wanazongwa na msongo wa mawazo.