Wajenzi wa nyumba za bei nafuu wanahofia kupoteza kazi zao

  • | Citizen TV
    449 views

    Wafanyikazi kwenye mijengo iliyoko chini ya mradi wa serikali wa nyumba za bei nafuu eneo bunge la Bahati kaunti ya Nakuru sasa wanaitaka mahakama kubatilisha uamuzi wake wa kuharamisha ushuru wa nyumba. Wafanyikazi hao wanasema tangu ujio wa mradi huu wamepata ajira na kuweza kulisha familia zao, jambo ambalo wanasema limepunguza visa vya utovu wa usalama