14 Sep 2026 10:19 am | Citizen TV 347 views Duration: 1:25 Wakazi wa Eneo la Wajir Kusini wamepongezwa kwa kudumisha amani na usalama licha ya kuwa eneo la linalopakana na Somalia, huku vijana wakihimizwa kuendelea kulinda utulivu uliopo.