Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi Kipkelion wahakikishiwa hospitali ya rufaa itajengwa Londiani

  • | Citizen TV
    401 views
    Duration: 1:41
    Baada ya miezi kadhaa ya mazungumzo kuhusu sehemu inayopaswa kujengwa Hospitali ya rufaa ya kitaifa katika kaunti ya Kericho, wakazi wa maeneo Bunge ya Kipkelion East na Kipkelion West wamehakikishiwa kuwa mradi huo utajengwa sehemu ya Londiani.