Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi kutoka Jipe eneo Taita Taveta, walaumu viongozi wao baada ya kufurushwa kutoka makaazi yao

  • | KTN News
    272 views
    Duration: 5:05
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Familia zaidi ya 300 kutoka eneo la Mkocheni, Jipe, katika kaunti ndogo ya Taveta, zinaendelea kutaabika baada ya kufurushwa kutoka makazi yao na mmiliki wa ardhi usiku wa manane wiki moja iliyopita. Familia hizo sasa zinaishi kwenye mahema, zikililia haki na kuwalaumu viongozi wa eneo hilo kwa kutoingilia kati. Baadhi ya wakazi wamesema hawajapokea msaada wowote wa kibinadamu, huku watoto wakikosa mahali pa kulala na chakula cha kutosha. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews