Wakaazi kutoka kaunti ya Kilifi washiriki katika zoezi la usafishaji wa bahari

  • | Citizen TV
    199 views

    Wakaazi wa Marereni kaunti ya Kilifi pamoja na wahifadhi wa mazingira wameshiriki zoezi la usafi, kuokota uchafu wa plastiki ambao umeendelea kusababisha vifo vya viumbe vya baharini haswa kasa. Kasa zaidi ya 200 wametajwa kufariki baharini kutokana na athari za plastiki.