Wakaazi na wanafunzi Lang'ata wanahangaika kwa kukosa maji ya matumizi kwa muda mrefu

  • | Citizen TV
    248 views

    Wakazi na wanafunzi wa shule ya msingi ya ngei eneo la Lang'ata kaunti ya Nairobi wanahangaika kwa kukosa maji ya matumizi kwa muda mrefu. Hali hiyo imesababisha shule hiyo kuwa na uchafu mwingi, na kutia wanafunzi kwenye hatari za kuambukizwa maradhi yanayotokana na uchafu