- 930 viewsDuration: 3:09Wakaazi wa ikolomani kaunti ya Kakamega wamesisitiza kuwa hawataacha majukumu yao ya uchimbaji dhahabu licha ya madai ya kuwepo kwa kampuni ya kimataifa inayolenga kuchimba dhahabu katika maeneo yao. Wakaazi hao ambao huenda wakahamishwa kutoka kwenye maeneo yenye madini ya dhahabu wamedai kuwa kuondolewa kwao kutawaingiza katika hali ya uchochole.