Wakaazi wa Kajiado wakubali kusaidia kulinda wanyamapori

  • | Citizen TV
    374 views

    Baada Ya Ugavi Wa Ardhi Kwenye Maeneo Ya Amboseli Kaunti Ya Kajiado, Wakazi Walipata Ardhi Ya Kibinafsi Lakini Kwa Sababu Ya Kulinda Wanyama Pori,Ardhi Hiyo Hairuhusiwi Kuwekwa Ua,Kujenga Nyumba Za Kudumu Au Ukulima . Hatua Hii Imekumbatiwa Na Wenyeji Ambao Watakuwa Wakilipwa Ada Iitwayo Nairrabala Huko Kajiado Kusini.