Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi wa Kapchemutwa waandamana wakidai kunyanyaswa katika utoaji wa kandarasi za kuvuna miti

  • | NTV Video
    170 views
    Duration: 1:52
    Baadhi ya wakaazi katika wadi ya Kapchemutwa kaunti ya Elgeyo Marakwet wameandamana wakidai kunyanyaswa katika utoaji wa kandarasi za kuvuna miti iliyokomaa kwenye msitu wa serikali wa kapchemutwa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya