- 471 viewsDuration: 1:44Maafisa wa polisi huko nyeri wamelazimika kutumia gesi ya Kutoa machozi kuwatawanya wakaazi wa Kijiji Cha kianjogu huko Mathira, walioandamana mapema leo wakikashifu mauaji ya mtoto Shantel Waruguru, aliyepotea na kukosekana tangu jumamosi iliyopita