Wakaazi wa Lamu wahamasishwa kuhusu umuhimu wa mti

  • | Citizen TV
    270 views

    afla ya Maonyesho ya kuhamasisha jamii ya Lamu kuhusu umuhimu wa Miti imefanyika katika kituo cha utafiti Cha KEFRY Mokowe kaunti ya Lamu.Aidha Wakazi wamehimizwa kukumbatia upanzi wa Miti ya matunda ili kupata chakula na wakati huo huo kuzuia Mmomonyoko wa Udongo.