Wakaazi wa Lamu waraiwa kuhifadhi mikoko iliyo karibu

  • | Citizen TV
    72 views

    Shinikizo limetolewa kwa wakaazi wa Lamu kulinda na kuhifadhi misitu ya mikoko kutokana na mabadiliko ya hali ya anga yaliyosababisha kiangazi kikali licha ya kuwa huu ni msimu wa mvua.hii ni kulingana na maafisa wa shirika la misitu nchini, KFS.