Wakaazi wa maeneo kame waraiwa kipimwa

  • | Citizen TV
    280 views

    Wakazi wa maeneo kame katika kaunti ya pokot magharibi wameraiwa kufika katika vituo vya matibabu ili kupata vipimo vya magonjwa ambao yamesahaulika. magonjwa kama vile Kalaazar, Mycetoma na Trachoma yameratibiwa kama baadhi ya magonjwa yaliyosahaulika na ambayo yanazidi kuwaathiri wakazi pokot magharibi. Kama anavyoarifu collins shitiabayi, wakazi walipata matibabu bila malipo katika kambi ya matibabu iliyoandaliwa eneo la kacheliba.