Wakaazi wa Mbooni, Makueni watakiwa kuripoti matatizo ya afya ya akili

  • | Citizen TV
    288 views

    Visa vya dhulma za kijinsia na watu kujitoa uhai vimeripotiwa kuendelea kuongezeka katika eneo la Nduluku, Mbooni mashariki kaunti ya Makueni. Ni hali hii ambapo sasa viongozi wa kidini wanawataka wakaazi wa eneo hilo kutafuta suluhu na ushauri kwa wataalam wanaposhikwa na msongo wa mawazo.