Wakaazi wa Nairobi kulipa kodi zaidi za huduma wanazopokea kwenye mswada wa fedha wa mwaka wa 2023

  • | Citizen TV
    4,045 views

    Ushuru wa juu Nairobi Ushuru wa maegesho kupanda kutoka ksh. 200 hadi ksh. 300 Nairobi Mswada wa fedha wa 2023 unalenga kukusanya ushuru ksh.19.9b Malori yenye uzani wa tani 5 kulipa ksh.112,500 kwa mwaka Malori yenye uzani wa zaidi ya tani 5 kulipa ksh. 225,000 kwa mwaka