- 87 viewsIdadi kubwa ya droni zisizotambuliwa zimeripotiwa kuruka katika maeneo ya New Jersey na East Coast katika wiki za karibuni, ikizua wasiwasi na dhana juu ya nani na kwa nini zinatumwa huko. Darzeni ya walioshuhudia wameripoti kuziona droni hizo huko New Jersey tangu mwezi Novemba. Hapo awali, droni hizo zilionekana zikiruka katika upeo wa Mto Raritan, mkondo wa maji unaoelekea katika hifadhi ya maji ya Round Valley, ni mwamba unaohifadhi maji ya jimbo hilo, umbali wa kiasi cha kilometa 80 magharibi mwa Jiji la New York. Lakini mara droni hizo ziliripotiwa kuonekana katika jimbo lote, ikiwemo karibu na Picatinny Arsenal, kituo cha jeshi la Marekani cha utafiti na utengenezaji, na juu ya eneo la uwanja wa golf wa Rais-mteule Donald Trump huko Bedminster. Ndege hizo pia hivi karibuni zilionekana katika maeneo ya pwani. Idara ya Upelelezi (FBI) ni kati ya mashirika kadhaa yanayofanya uchunguzi na wamewataka wakazi kutuma video, picha na taarifa nyingine walizonazo kuhusu droni hizo. - AP #newjersey #drones #us #voa
Wakaazi wa New Jersey washuhudia droni zisizojulikana
- 7 Aug 2025 - Two families in Mlolongo, Machakos County, are in anguish months after their kin disappeared under mysterious circumstances.
- 7 Aug 2025 - Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
- 7 Aug 2025 - A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
- 7 Aug 2025 - The late MP was a trailblazer on many fronts.
- 7 Aug 2025 - The operation was a joint effort between police and KWS.
- 7 Aug 2025 - The arrests were made during an operation on Wednesday night.
- 7 Aug 2025 - CBK is expected to respond to the bankers' request next week on Tuesday.
- 7 Aug 2025 - They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
- 7 Aug 2025 - The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
- 7 Aug 2025 - By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project