Wakaazi wa soko la Kapsokwony wafanya maandamano

  • | Citizen TV
    261 views

    Wakazi na wafanyabiashara wa soko la Kapsokwony katika eneo la Mlima Elgon wameandamana wakimtaka Rais William Ruto kutimiza ahadi yake ya kujenga barabara ya Kimilili-Kapsokwony, wakisema barabara hiyo kwa sasa haipitiki