Wakaazi wa Trans-Nzoia wahimizwa kuhifadhi mazingira

  • | Citizen TV
    322 views

    Wataalamu wa mazingira katika kaunti ya Trans Nzoia wameanzisha mchakato wa kufunza jamii inayoishi kando kando ya misitu umuhimu wa kutunza mazingira na manufaa ya wao kuishi katika maeneo hayo