Wakaazi wa Vihiga wahimizwa kujisajili katika bima ya afya ya SHA

  • | Citizen TV
    100 views

    Serikali Kupitia Wizara Ya Afya Inajizatiti Kuhakikisha Wakenya Wanapata Huduma Za Afya Kwa Njia Iliyo Bora. Haya Ni Kwa Mujibu Wa Naibu Mkurugenzi Katika Wizara Ya Afya Daktari Sultan Matendechero.