Wakaazi wa vijijini huko Meru waahidiwa huduma za umeme

  • | Citizen TV
    242 views

    Serikali kupitia wizara ya kawi imezidua mradi wa usambazaji kawi mkondo wa kwanza chini ya mpango wa 'last mile' haswa kwenye vijiji vilivyoko mbali katika kaunti ya Meru.