Wakaazi wa Wajir, Mandera na Tana River wahidi kushirikiana kuleta amani

  • | Citizen TV
    100 views

    Baadhi ya Viongozi kutoka kaskazini mashariki wametoa wito wa amani ya kikanda na usalama wa mpaka ili kupata maendeleo zaidi. Wakizungumza Katika Kongamano la pili la Jamii ya Kumade katika Kaunti ya Wajir, viongozi wa jamii wamewataka wakaazi wa Mandera na Tana river kukumbatia amani na kujitahidi kuishi pamoja.