Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi wafurahia mradi wa kukarabati barabara Makueni

  • | Citizen TV
    7,121 views
    Duration: 3:39
    Wakaazi wa maeneo ya Emali, Matiliku na Ukia kaunti ya Makueni wamelezea matumaini yao kuwa serikali itakamilisha ujenzi wa barabara ya Emali kuelekea Ukia ambayo imekuwa mbovu kwa muda mrefu na kuwasbabishia hasara kubwa licha ahadi za mara kwa mara kuwa serikali itaweka lami barabara hiyo.