Wakaazi wajitokeza kujenga upya barabara Tamiyoi

  • | Citizen TV
    652 views

    Wakazi wa eneo la Tamiyoi Samburu magharibi wameamua kuchukua hatua ya kukarabati barabara kuu ya Tamiyoi-Maralal wenyewe, kutokana na ubovu wake baada ya kuharibiwa na mvua kubwa inayoendelea kunyesha. Kulingana nao jitihada zao kusaka usaidizi kutoka kwa idara za serikali zimeambulia patupu