- 1,794 viewsDuration: 1:41Wakazi wanaoishi karibu na hospitali ya kaunti ndogo ya Kimilili na karibu na mahakama ya Kimilili wamelalamikia kuwepo kwa popo wengi maeneo hayo, wakisema kero hiyo si tu tishio kwa mazingira bali ni tishio kwa afya yao wakiitaka idara husika kutumia mbinu zozote kuwaondoa popo hao.