Wakaazi walalamikia kuzidi kwa maji kwenye majumba Syokimau

  • | Citizen TV
    560 views

    Athari za mvua zimeendelea kuwatatiza wakaazi wengi wanaoishi maeneo ya Syokimao kaunti ya Machakos huku maji yakijaa kwenye barabara na nyumba nyingi eneo hili. Sasa wakaazi hawa wakitaka serikali ya kaunti ya Machakos kuwajibikia hali hii, la sivyo wataelekea mahakamani. Wakaazi hawa wanalaumu baadhi ya ujenzi eneo hilo