Wakaazi walalamikia ubovu wa barabara ya Doldol

  • | Citizen TV
    168 views

    Miaka 3 baada ya ujenzi wa Barabara kuu ya Nanyuki kuelekea Doldol kaunti ya Laikipia kuzinduliwa, Barabara hii bado haijakamilika na ujenzi ulisimama siku kadhaa baada ya kuzinduliwa.