Wakaazi wanaoishi karibu na mradi wa ujenzi wa bwawa la Mwache waandamana kwa kukosa ajira

  • | Citizen TV
    236 views

    Wakaazi wanaoishi karibu na mradi wa ujenzi wa bwawa la Mwache eneo la Kinango kaunti ya Kwale, wameandamana kushinikiza kampuni inayojenga bwawa hilo kuwaajiri wenyeji.