Wakaazi wapinga njama ya kuzuia ujenzi eneo la Londiani

  • | Citizen TV
    133 views

    Wakazi na viongozi wa eneo bunge la Kipkelion Mashariki wamepinga vikali jaribio lolote la kuhamisha ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Londiani yenye thamani ya Shilingi Bilioni 8.