Wakaazi wapinga unyakuzi wa arhi Kariobangi South

  • | TV 47
    19 views

    Wakazi wa mtaa wa Kariobangi South wamepinga unyakuzi wa ardhi iliyokuwa imetengwa kwa ajili ya kujenga kituo cha ukarabati ili kuisaidia jamii.

    Kulingana na wakazi hao mwekezaji wa kibinafsi alijaribu kutia ua kwenye ardhi hiyo mapema leo ila wakapata habari mapema na kuanza maandamano.

    Wakaazi hao sasa wanamtaka mbunge mark mureithi mwenje pamoja na mwakilishi wao wa wadi kuingilia kati ili kulinda mali ya umma.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __