Wakaazi zaidi ya 200,000 kunufaika na mpango wa serkali wa kusambaza nguvu za umeme Bomet

  • | Citizen TV
    395 views

    Wakaazi zaidi ya laki mbili tisini na sita watanufaika na mpango wa serkali wa kusambaza nguvu za umeme maarufu kama last mile connectivity itakayogharimu shillingi Billioni ishirini na saba.