26 Sep 2025 1:48 pm | Citizen TV 157 views Duration: 1:22 Serikali imewataka wakandarasi wote waliopewa zabuni za miradi ya ujenzi wa barabara kote nchini kuhakikisha wanatimiza masharti ya kandarasi zao ndani ya muda uliopangwa, la sivyo hatua kali zitachukuliwa dhidi yao.