20 Jul 2026 10:19 am | Citizen TV 357 views Duration: 1:55 Maafisa wa Wizara ya Elimu kwa ushirikiano na kitengo cha kukagua miradi ya serikali wametoa onyo kwa wakandarasi wanaochelewesha au kutotekeleza ipasavyo miradi ya ujenzi katika shule mbalimbali za kaunti ya Nyamira.