- 704 viewsDuration: 2:58Wakazi wa Kijiji cha Entashat huko Kajiado Magharibi wanahofia maisha yao kutokana na visa vya wanajeshi wanaofanya mazoezi eneo hilo kufyatua risasi na kuwajeruhi baadhi yao mara kwa mara. Kando na ongezeko la majeruhi, wakazi hao wanalalamika kuwa risasi hizo bia huharibu nyumba zao. wakazi sasa wanahofia kuwa iwapo hazitachukuliwa basi huenda maafa yakatokea.