1 Oct 2025 10:35 am | Citizen TV 402 views Duration: 2:10 Wakazi wa kaunti ya Garissa wanataka wenyeji walioathirika na dhuluma za jadi pamoja na ukiukaji wa haki za binadamu kutoka maafisa wa usalama kufidiwa na serikali.