Wakazi kutoka kaunti ya Trans Nzoia wataka barabara ikarabatiwe

  • | Citizen TV
    663 views

    Kufuatia mvua kubwa inayonyesha katika maeneo mengi kaunti ya Trans-Nzoia, serikali imetakiwa kuanzisha mikakati ya ukarabati wa barabara, ili kurahisisha usafirishaji wa mazao ya mashambani. wakulima wengi wamekuwa wakitatizika wakati w mavuno kutokana na ubovu wa barabara.