Skip to main content
Skip to main content

Wakazi Makueni kufahamishwa namna ya kufuatilia urithi wao

  • | Citizen TV
    332 views
    Duration: 2:34
    Serikali ya makueni imeanzisha vikao vya kuhamasisha umma kuhusu sheria za urithi wa ardhi ili kusaidia jamii kujua jinsi ya kufuatilia hatimiliki za mashamba waliyoachiwa na wazazi. Kadhalika, zoezi hilo linalenga kupunguza mizozo ya mashamba katika kaunti hiyo.