Skip to main content
Skip to main content

Wakazi Moyale wanufaika na matibabu ya bure ya macho

  • | Citizen TV
    302 views
    Duration: 2:06
    Wakazi wa Moyale wamepata huduma za bure za matibabu ya macho. Wananchi wamepimwa dalili mbalimbali, kupewa matibabu na kushauriwa kuhusu namna ya kutunza afya ya macho.