Wakazi wa Aruba Cherangany walalamikia ongezeko la wizi wa mifugo

  • | West TV
    59 views
    Wakazi wa eneo la Aruba wadi ya Sinyereri eneo bunge la Cherang’any kaunti ya Trans nzoia wanataka ocs wa eneo hilo kuhamishwa kwa madai ya kufeli kukabili visa vya wizi wa mifugo vilivyowacha familia nyingi kukadiria hasara