Wakazi wa Baringo wamepinga kufunguliwa kwa baa

  • | Citizen TV
    76 views

    Wakazi wa Baringo Kaskazini wamepinga kufunguliwa tena kwa baa katika eneo hilo, wakilalamikia wasiwasi kuhusu vifo vinavyotokana na matumizi ya pombe na kuongezeka kwa uhalifu.