Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Bilbil waandamana kupinga kutengwa kwa ardhi kwa kilimo cha miwa

  • | Citizen TV
    247 views
    Duration: 1:59
    Wakazi wa Bilbil eneo bunge la Bura kaunti ya Tana River wameandamana kupinga mpango wa kutengwa kwa ekari zaidi ya elfu arobaini na tano kwa wawekezaji wa kilimo cha miwa katika eneo hilo.