8 Oct 2025 1:47 pm | Citizen TV 292 views Duration: 2:13 Wakazi wa Birikani mjini Voi kaunti ya Taita Taveta ambao wanaishi katika shamba la kijamii la Kishamba B wameandamana wakitaka kupimiwa ardhi zao na kupewa hatimiliki.