25 Sep 2025 1:21 pm | Citizen TV 218 views Duration: 1:56 Wakazi na wafanyabiashara kutoka Kituo cha Biashara cha Boiman katika wandi ya Gathanji la eneo la Ol-Joro Orok kaunti ya Nyandarua wameandamana wakilalamikia utovu wa usalama katika eneo hilo.