Wakazi wa Bukwamba Kaunti ya Busia wataka umeme

  • | Citizen TV
    100 views

    Wakazi wa kijiii cha Bukwamba kilichoko katika eneo bunge la Funyula Kaunti ya Busia wamesikitikia hali ya kudorora kwa usalama kutokana na ukosefu wa nguvu za umeme kijijini humo