- 333 viewsDuration: 2:20Huku hali ya kiangazi ikizidi kuwa mbaya katika maeneo mengi kaunti ya Garissa, wenyeji wa kijiji cha Bula Iftin sasa wanataka idara ya maji kaunti hiyo kukamilisha mradi wa maji wa Maramtu ili kuwapunguzia tatizo la uhaba wa maji.