5 Dec 2025 1:44 pm | Citizen TV 363 views Duration: 2:02 Kadri matumizi ya mtandao wa intaneti yanavyozidi kuongezeka, wakazi wa vijiji vya Chepkumia na Yala katika Kaunti ya Nandi wanaiomba serikali pamoja na wahisani kuwaletea huduma za intaneti za bure au kwa gharama nafuu.